$ 0 0 Mwenyekiti mpya wa Kudumu Bunge la Katiba Dodoma baada ya kuchaguliwa kwa kura 487 against kura 69 za mshindani wake Hashim Rungwe na kura 7 zilizoharibika akiwashukuru wabunge kwa kumchagua dakika chache zilizopita baada ya kushinda.