Inavyoonekana uzalendo umemshinda mtoto wa Mwigizaji Will Smith, Jaden Smith baada ya kuonekana
akiwa na mpangishaji nyumba na konekana kujadili jambo kwa takribani masaa matatu uko Malibu karibia na nyumba ya mpenzi wake wa sasa Kylie Jenner mdogo wa Kim Kardashian. Jaden mwenye umri wa miaka 15 ana uhusiano na Kylie Jenner mwenye umri wa miaka 16. Ukiangalia kwenye picha Jaden anaonekana kuwa na mshangao baada ya mapaparazi kumshutukiza na kuonekana jambo ili alitaka liwe siri. Je kibongo bongo mambo kama haya yanaweza kufanyika? |