Naibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba akisaini Kitabu mara baada ya Kuwasili Ofisi za Hazina Ndogo Jijini Arusha hapo Jana Tar.12/03/2014,Kulia ni Bi.Deodatha R.Makani ambaye ni Mkurugenzi-Hazina Makao Makuu Dsm.Mh.Mwigulu Nchemba akipokea maelezo kuhusu hali ya Utendaji wa Hazina Ofisi Ndogo -Arusha.
Naibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba akizungumza na Watumishi/Watendaji wa Hazina Ndogo Ofisi za Arusha.Mh.Mwigulu Nchemba amewasihi Watumishi wa Hazina Ndogo-Arusha kuhakikisha Fedha za Umma Zinasimamiwa Vizuri,Ubadhilifu Wowote ule hautafumbiwa Macho.
Naibu Waziri Wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba akiagana na Mtendaji Mkuu Uhakiki Mali Ofisi Ndogo za Hazina Jijini Arusha.