Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE MAJANGAZ & BONGO:- SUPER STAR WEMA SEPETU AKINUKISHA JANA LIVE SOMA SABABU NA AMEMNUKISHIA NANI LIVE!!

$
0
0



Gossip cop Soudy Brown wa U heard ya XXL Clouds FM alizipata stori kutoka kwa shuhuda kwamba jana March 13 2014 kulitokea ugomvi studio baada ya Ommy Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae amewahi kuingia kwenye headlines kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Diamond.Shuhuda anasema tatizo lilikuja baada ya video hiyo kusambaa na kumbe Diamond hakumuaga mpenzi wake Wema kwamba angekua studio na Victoria, hapo ndio Wema anadaiwa kwenda na kufanya fujo studio. (Source - Millard Ayo Blog).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>