Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- GUYS HAYA NDIO MAONI YANGU ON DUAL CITIZENSHIP AND I STAND BEHIND THEM 100% KAMA HUYAPENDI IT IS OK ILA SIJAMTUKANA MTU I JUST SPOKE MY MIND!! YOU GOT A PROBLEM WITH IT CALL ME AT +255 717 618 997 OR willymalec@gmail.com ANYTIME NITAKUJIBU!!

$
0
0
- Nimeombwa mara nyingi sana kuigusa hii topic lakini nilikuwa sijawahi kwa sababu sijawahi kuwa convinced kwamba waombaji wapo serious, lakini leo nimeamua kuigusa kwa sababu naamini ni the right time nikajaribu japo kuwasaidia mawazo kidogo ndugu zangu wabongo huko nje ambako na mimi nilikuwa mkazi wa muda mrefu sana.
 

- Guys mlioko nje tatizo kubwa linalowasumbua na hii ishu ni kukosa kwenu hoja za msingi za kuwashawishi wananchi huku Tanzania kuhusu hiyo ishu, halafu pili kukosekana kwa umoja wenu on this ishu pia inachangia sana katika kuwachelewesha kupatikana kwa solution ya the ishu. Mpaka leo mmeshindwa kuelewa kwamba Tanzania sasa inaongozwa na siasa za uchumi, sijaona popote mkijenga hoja ya Taifa letu litafaidika vipi kiuchumi iwapo mtapatiwa hiyo dual citizenship? 

Wekeni mahesabu tuone wabongo wote huko nje kwa ujumla wenu kipato chenu kwa mwezi ni hela ngapi, kwa mwaka ni hela ngapi, halafu onyesheni kwa mifano hai kati ya hizo mnatuma ngapi bongo na zinalipa kodi za bongo kiasi gani, halafu wekeni mifano ya nchi zingine kwa mahesabu hayo hayo kama ya kwenu.
 

- Tatizo lingine mlilonalo ni hamna umoja on this ishu, wengi wenu mnaonekana mnajaribu tu kuitumia hii ishu na platform yake kutafuta umaarufu na vyeo vya siasa hapa bongo, mara ya mwisho niliwahi kukutana na dada mmoja akaniambia yeye ndiye mtu wa Diaspora katika ofisi ya Waziri Mkuu so I was like how come simfahamu wala sijawahi kumsikia, amewahi kufanya au kusema nini serious mpaka Taifa likatikisika kuhusiana na ishuz za Diaspora? Wengi wenu mkija hapa bongo mnajulikana sana kwamba shida yenu ni kutafuta vyeo tu na kupiga picha na viongozi wa juu wa Taifa basi, badilikeni ndugu zangu kama kweli mko serious mnataka hii ishu ikubaliwe.
 

- Kwanza jiungeni wote muwe na one say, halafu jifunzeni mbinu za lobbying ni lazima mtumie watu huku bongo ambao wana nguvu za ushawishi kwa viongozi wahusika na maamuzi, halafu acheni tabia yenu kujifanya kujua sana human rights, nimeona mijadala yenu mingi sana hamko humble enough as watu wenye shida, naona wengi mnajifanya kujua sana hizo attitude zenu za Ulaya huku ni bongo watu wana mambo mengi sana ya maisha yao they could carelesss na hiyo ishu yenu, sasa mnapokuja na bullying tatctis za kujifanya kujua sana kama tabia za Ulaya huku mnaonekana wajinga flani hivi au vikatuni hivi, 

badilikeni kaeni chini on a serious note watumeni watu wenye adabu na uvumulivu na waelewa tafuteni hoja nzito zenye namba za kichumi, halafu wacheni tamaa za kijinga za jinga za kukimbilia kupiga picha na viongozi tu, tafuteni watu wanaoweza kuwasaidia huku bongo, ama sivyo mtaendelea kupigana na vivuli vyenu wenyewe huku bongo maisha sio mchezo watu wapo busy sasa kwa nini wapoteze muda na ishu ambayo haonekani kuwa na mashiko yoyote na maisha yao ya kila siku, so badilikeni people!!

Le Mutuz big Show

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles