mwanamuziki mrembo wa Uganda na jaji wa shindano la Tusker Project Fame, Juliana Kanyomozi,Hivi karibu washabiki wamekuwa wakitakata kuujua umri wake.
Kuzima maneno ya wengi waliokuwa wakihisi anaficha umri wake, mrembo huyo mwishoni mwa mwezi uliopita kwenye siku yake ya kuzaliwa aliandika kwenye Twitter: “I was born on 27 November 1980,” na hivyo kumfanya awe na umri wa miaka 33.
Hata hivyo Waganda wengi wamekuwa wakiamini kuwa huenda ana umri zaidi ya miaka 33.
Katika hatua nyingine, siku moja baada ya birthday yake, Juliana aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook:
‘Wow, one day after my birthday and I feel fantastic. I'm blown away by all the bday wishes, messages, and thoughtful comments I received to help me celebrate my special day. If I tried to respond to each one individually we'd be here a long time Lol. I just want you all to know how good you made me feel. I am truly blessed to have so many wonderful people in my life.. God bless you.’