Taarifa zilizotufikia punde zinadai kwamba yule mtoto wa kiume aliyezaliwa gesti huku mama yake Bi.Mwanaidi Athumani akiwa na mume mwingine amefariki dunia jana.
Baada ya kupokea taarifa hizo Mwandishi wa habari hizi alifika hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro na kuzungumza na daktari mmoja ambaye alithibitisha mtoto huyo aliyekaa tumboni kwa mama yake kwa miezi 7 amefariki dunia.