Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

NA HIZI NDIO UPDATES ZA UPIGAJI KURA UNAVYOENDELEA KALENGA SASA HIVI LIVE!!

$
0
0
Wananchi wa Jimbo la Kalenga wamejitokeza kupiga kura ila kwa idadi ndogo sana hadi sasa, mtizamo huru imeweza kushuhudia asilimia kubwa ya wananchi wameendelea na shughuli zao za kawaida,
Amani na Utulivu imetawala miongoni mwa wananchi hadi sasa, ni matumaini yetu kila kitu kitaenda kama ilivyopangwa.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>