Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MAN OF THE MATCH...LAURENT KOSCIELNY.......BADO GUNNERS YAKOMAA NA NDOO YA EPL.

$
0
0




Beki  raia wa ufaransa ameendelea kuonyesha umuhimu wake kwenye kikosi cha washika bunduki wa london Arsenal akisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya mahasimu wao Tottenham,Nae kiungo mkongwe wa klabu hiyo Thomas Rosicky leo amekuwa lulu kwenye timu yake baada ya kufunga goli la kuongoza na pakee katika sekunde ya 72 ya mchezo.

wakati mambo yakiwa mazuri kwa washika mitutu hao,mambo yalikuwa tofauti kwa Nacer Chadli wa Spurs kufuatia kushindwa kuweka kimiani mpira ambao ulishapotea kwenye mwelekeo wa mlinda mlango wa Arsenal.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>