Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

ANGALIA PICHA YA BINADAMU MWENYE KILO 610 APELEKWA RIYADH, SAUDI ARABIA KWA UPASUAJI

$
0
0
Khalid Mohsen akishushwa toka ghorofa ya pili kwa folklift nyumbani kwake mjini wa Jazan nchini Saud Arabia kwa ajili ya kupelekwa Kwenye Hspitali ya Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia kwa upasuaji
Khalid Mohsen akiwa kwenye Folklift kupelekwa uwanja wa ndege tayari kusafirishwa Riyadh, mji mkuu wa nchi hiyo kwa ajili ya upasuaji. 

 Khalid Mohsen akiingizwa kwenye ndege kutumia Folklift.
 Khalid Mohsen akitolewa kwenye tolitoli mara baada ya kuwasili Hospitali ya Riyadh

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>