Rais wa Colombia, Juan Manuel Santos amezindua kampeni ya uchaguzi wa Urais kwenye jiji la Barranquilla, lakini wakati akihutubia, janga likamtokea.Rais huyo alikuwa akihutubia kwa mzuka kabla ya kujikojolea hadharani na kila mtu akiona japo hakusitisha hotuba hiyo. Video yake imekuwa maarufu tayari mtandaoni. Hata hivyo Rais huyo amekanusha kuwa na matatizo ya kiafya. Ametumia mtandao wa Twitter kuwashakuru wananchi wa Colombia kwa kumuelewa licha ya aibu hiyo.
BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO YENYEWE
BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO YENYEWE