Hawa jamaa ndio tunawategemea watupe nyezo ya namna ya kuendelea na hii BIG RESULTS NOW...lakini hii saga ya MH370 inaonyesha wazi kuwa pamoja na umasikini, ufisadi, uzandiki wetu sisi tungeweza kuihandle vizuri sana hii issue ya upotevu wa ndege kuliko hawa Malaysia. Hivi huyu waziri wao wa Ulinzi ambaye pia ana act kama waziri wa avation sidhani kama ana tofauti sana na the most incompetent cabinet minister wetu (nadhani JF veterans mnamjua) lakini the difference is huyu wa kwetu anakiri wazi kuwa kazi haiwezi ila inabidi abebwe tuu hivyo hivyo ili mradi twende mbele.


Lakini...

Huyu wa Malaysia kwa kweli amenitisha sana. Hivi inawezekana vipi one of the most developed country in Asia Pacific iwe na waziri wa ulinzi ambaye hajui ndege iko wapi?

seriously?

Ndege inapiga zigzaga kwenye nchi yako mwenyewe na wewe n waziri wa ulinzi na mitambo yote ya radar unayo na vyombo vyote vya jeshi viko chini yako na hujui iko wapi ...practically the plane flew the length and breath of his country, tena zig-gazzing frm east to west coast and NOT A SINGLE OF 1 OF THE 4 DEFENCE STATIONS whose job is to identify these sorts of situations actually spotted the plane!!!!! tena for 8 hours....huyu jamaa ni the most incopetetent defence minister in the world kwa kweli...I you send a top man out kwenye press conference to tell the world kuwa ''our ar defenses are piss poor, I think the guys might have been asleep or something....this is the same country that we adopted BRN blue prints from... bora hiyo BRN tungeenda kuiga SINGAPORE na sio MALESHA....ohhh


btw

WAZIRI WETU WA UCHUMI naye kasomea huko huko huko MALESHA...


nasema kama kuna military and other bilateral exchanges na hawa jamaa nashauri tufanye revew. Hatuwez kupewa semina elekezi na hawa watu.

Nashauri hiyo BRN itobolewe matundu maana inawezekana haya mambo yetu ya copy and paste yakaja kututokea puani.