Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar huku akisindikizwa na Digna Mbepera pamoja na Winfrida Richard.
Winfrida Richard na Hashim Donode wakisongesha burudani sambamba na Aneth Kushaba AK47 pamoja na Digna Mbepera.
Mashabiki wakijimwaga na burudani ya Skylight Band ambapo kila Ijumaa wanapatikana pale Thai Village Masaki jijini Dar.
Aneth Kushaba AK47 akiburudika na shabiki wa Skylight Band.
Pata picha burudani wanayoipata mashabiki hawa wa Skylight Band ambayo ni habari ya mujini kwa sasa..!!! Usipitwe njoo wewe na yule Ijumaa hii.
Fursa ndio mpango mzima...njoo uonyeshe ufundi wako leo.
Shake what'cha your Mama gave yaaa....!!! Wamejaaliwa mashalaah...
Digna Mbepera na Winfrida pale waliponogewa burudani ya Bendi yao Skylight.
Mzuka wa Aneth Kushaba AK47 pale burudani inapomkolea nae husindikiza mashabiki kwa style ya aina yake.
Miziki ya Pwani ilihusika kama inavyooneka picha....Pale kati....!
Shabiki akifungua Champagne kusheherekea siku ya kuzaliwa pamoja na Skylight Band, ambapo zawadi ilikuwa ni kuimbiwa wimbo maalum wa Happy Birthday.
Birthday Girl akipata Ukodak.
Mdau mkubwa wa Gerald Kilimo akishow love na Aneth Kushaba AK47.
Winfrida na Petit Money wakipata Ukodak.
Mdau Dagma (mwenye miwani) akiwa na marafiki ndani ya kiota cha Thai Village.
Birthday Girl Mama Sabrina Chicago akilishwa kipande cha cake mupenzi wake Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village huku Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akishuhudia tukio hilo adhimu.
Kutoka kushoto Petit Money, Claudi wa Maisha Club na Aneth Kushaba AK47 wa Skylight Band.
Petit Money akipata ukodak na Mdau Claud wa Maisha Club.
Neema Mbuya na Winfrida Richard wakishow love.
Hapa ni harufu ya pesa tuuuu... Tajiri kubwa David akipata Ukodak.
Joshua Ndege (katikati) na ndugu zake.
Mdau Alois Ngonyani na flowers wa Skylight Band.
We are Skylight Band Fans!