"Rasimu ina mambo mengi sana,SOMEni KWA MAKINI SANA,SIO KUFANYA MAAMUZI YA KUAMBIWA NA MWENZAKO,YAANI UNAAMBIWA,UMEFUNDISHWA??AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO." - JK |
"Rasimu ya Katiba mpya haisemi chanzo cha mapato ya Serikali ya tatu kitakuwa ni wapi na nani?" - JK |
"Kama Serikali ya Tatu itakuwa inategemea michango ya Serikali mbili basi kuna uwezekano wa siku moja Serikali ya Tatu ikakosa pesa za mchango na kusimama kwa kukosa pesa za kuiendesha"- JK |
"Serikali ya Tatu itakuwa na Polisi na Wanajeshi tu, lakini haina rasilimali yoyote."- JK |
"Ni muhimu sana Serikali ya Tatu ikawa na nguvu sio kuwa jina tu la Serikali"- JK |