"Serikali ya Tatu haitakuwa na rasilimali kwa hiyo itakuwepo ka kutegemea michango ya Serikali mbili, zisipochanga Serikali ya Tatu ambayo haitakuwa na kitu wanajeshi wake watakasirika na kuwafukuza wote kwenye serikali zenu na kushika dola, Serikali ya Tatu kama mnataka iwepo mjipange vizuri" - JK