Hapa ni baada ya TANESCO kufika eneo la tukio. |
mwili wa kijana huyo aliyefariki kwa shoti ya umeme ukiwa chini |
Mwili wa marehemu ukiwekwa kwenye machela ili kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti ktk hospitali ya Nyerere DDH. |
Panga alokuwa akikatia matawi na viatu vyake. |
Meneja wa Tanesco na Afisa wa jeshi la polisi wakipata maelezo ya jinsi ilivyokuwa. |
Hili ndilo tawi lililodondokea waya wa umeme na kupelekea kifo cha kijana huyo |