Wamiliki wa mgodi wa Resolute wanaondoka, hawachimbi tena dhahabu Nzega. Kuligunduliwa dhahabu eneo la nje ya mgodi, ghafla Resolute wakadai ni lao, lakini ni mashamba ya wakulima! Serikali ikawaruhusu wachimbaji waendelee kuchimba, wiki iliyopita wamewazuia kwa presha za Resolute, ambao wanaondoka zao! Wanataka nini hawa? Wananchi wamewekeza, hata hawajafika kwenye mwamba mashimo yao yanafukiliwa! Kesho mkutano
Like· · Share· 4 hours ago via BlackBerry Smartphones App·