Folorunsho Alakija wa huko Nigeria ni mwanamke mwenye utajiri mkubwa wa kiasi cha dola Billioni 3.3.
kama ulizani Oprah ndie mwanamke mweusi tajiri pekeyake utakuwa umekosea dada huyu ni mmiliki na muanzilisha wa kampuni kubwa ya mafuta iitwayo Famfa Oil.
Alianza kufanya kazi kwenye Bank ya International Merchant Bank of Nigeria, na baadae kwenda England kusomea mambo ya Fashion. Aliporudi Nigeria alianzisha kampuni ya Supreme Stitches ambayo ilizalisha nguo, ulipofika mwaka 1993 ndipo alipo anzisha kampuni ya mafuta