Wanachama wa Simba wamemtaka Mwenyekiti wa Simba, Aden Rage kujiudhuru ifikapo jumamosi baada ya hapo wao wanakwenda mjini Dodoma ili kumshinikiza ajihudhuru.Wakizungumza katika ukumbi wa idara ya Habari Maelezo mchana wa leo, Alhamis Desemba 5, 2013 walisema wamechoka na vituko vya mwenyekiti wao maana kila wakimtaka aitishe mkutano mkuu amekuwa akikiuka.
"Tunasema hatumtaki Rage na Wambura wake maana kila siku yeye anavunja katiba sasa asubiri maamuzi ya wanachama kama tutamfutia uanachama au tutamuondoa kabisa madarakani