Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

DIAMOND AWACHANA BASSATA..BAADA YA KUONDOA NYIMBO KADHAA KATIKA KILL AWARDS

$
0
0

Baada ya nyimboz ya SNURA (MAJANGA), TEMA MATE TUWA CHAPE ya MADEE na JUX (UZURI WAKO) kuondolewa katika KILI Awards hiki ndicho alicho kisema msani Nassib Abdul A.k.A DIAMOND PLATNUMZ…. 

“ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu pendwa, nafikiri ni vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za kutoka nje, kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake Haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka nje… Hii ni sawa na kuzidi kuukuza mziki wa nje huku tukiudidimiza na kuua mziki wetu… Will the target of reaching our goals ever be achieved?? #Ni_Mtazamo_tu


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>