$ 0 0 Mtoto wa rais Kikwete Ridhiwani alikuwa ni mmoja ya watu walio bahatika kukutana ana kwa ana na Rais wa Marekani Barack Obama Alivyokuja nchini mwaka jana.