Baadhi ya wakazi wa mji mdogo wa Tunduma uliopo Wilaya ya Momba Mkoani Mbeya washangaa Ngumi ambazo zilikuwa zinapigwa jana jioni mtaa wa Sogea kati ya dereva bajaji na mlevi mmoja watu hawakutambulika majina yao kwa mara moja (picha na saimeni Mgalula)