$ 0 0 Tarehe 9. Dec ibada ya Madiba kwenye uwanja wa Joberg kisha Mwili unahamishiwa Pretoria kuaga kwa siku 3! Maziko ni Tar 15.Dec AT Kunu Town/Western Cape.