$ 0 0 Baada ya mashabiki kumjia juu Mwanadada Lulu Michael juu ya ku copy na ku paste pozi la mwanamuziki Rihanna, naye Lulu hakuwa nyuma aliamua kujibu mashambulizi hayo.