Tangu mtandao huu uwe mstari wa mbela kupiga vita tabia mbaya kwa wasichana mbalimbali kuacha kupiga picha za aibu kwenye jamii na kutoa picha kadhaa kwenye mtandao hadi kupelekea wasichana wengi kupunguza kama si kuacha kabisa lakini hali imeanza kurudi upya ambapo msichana mmoja ambae inadaiwa ni mwanamuziki wa nyimbo za injili kufyatua picha za aibu na kuziachia kwenye mitandao kwa lengo la kutafuta wanaume.
Hapa Natasha akiwa na nguo za heshima kwenye jamii.
Ads not by this site
Kwa mujibu wa chanzo chetu ambacho ni msichana ambae yuko karibu na Natasha anaeishi maeneo ya KAWE jijini Dar alisema kuwa picha hizo zimesambaa mitandao na mtu aliyezisambaza ni yeye mwenyewe ambapo ziko nyingine mbaya zaidi ambazo msichana huyo anaonekana kujipapasa sehemu zake nyeti kwa lengo la kuwatia mshawasha wanaume dhaifu.