Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LE MAJANGAZZ WATANGAZAJI WA TELEVISHENI WAAMUA KUTANGAZA KIPINDI WAKIWA WATUPU KAMA WALIVYOZALIWA...!! TAZAMA VIDEO HAPA

$
0
0
Watangazaji wawili wa kipindi cha televishen "The View" wamewapa watazamaji wao mshangao pale walipovua nguo zao na kubaki uchi wakati show hiyo ikiendelea
Sherri Shepard na Jenny McCarthy wliamua kubadilisha mambo na kutangaza kipindi chao wakiwa uchi wa mnyama.

Watazamaji hawakuonekana kujali kutokana na tukio hilo na kuwapigia makofi na kelele nyingi

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>