Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

SUPER STAR JACKY WOLPER NAYE AOGESHWA MVUA YA KEJELI NA WASANII WENZAKE TENA LIVE!!

$
0
0

clip_image001 Msaanii Jackline Wolper akionekana na kibiyongo chake ukumbini.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wasanii bongo movie mwishoni mwa juma kwenye pati ya kundi hilo walitumia muda mwingi kumnanga msanii mwenzao Jackline Wolper eti anakisogo kama katuni Madenge.

paparazi ambaye alikuwepo ukumbini ilishuhudia wasanii wakimsema mwenzao kama hivi:
clip_image001[7] Msaanii Jackline Wolper akionekana na kibiyongo chake ukumbini.“Huyu nae kujishaua kwanza bichwa kama madenge angalia kichogo chake kule" Alisema mmoja wa wasanii wakubwa tu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>