Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LE MJAJANGAZ & BONGO:- SUPER STAR MSANII WA BONGO FLEVA SHILOLE AFUNGUKA ON KANTANGAZEEE NA KIGODORO ONA ALICHOSEMA LIVE!!

$
0
0
 · 4 hrs· Edited
 

Shilole asema wimbo wa Kantangaze ni wake,asikitishwa Producer More kuigawa ngoma yake kwa wasanii wengine.

Baada ya wimbo wa Kantagaze kutolewa na wasanii wanaofanya kazi na record label mbili za Marcochali Foundation na Fire Records sasa hivi ni zaidi ya wiki imepita, Msanii wa muziki wa mduara Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa ngoma hiyo ni yake na akasikitishwa na producer More kuigawa ngoma yake kwa wasanii Dijah na Namcy
.http://www.cloudsfm.co/profiles/blogs/shilole-asema-wimbo-wa-kantangaze-ni-wake-asikitishwa-producer-pr


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>