Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LE BONGO TAMBALALEZZZZ ILA IKINYESHA NDIO UTAJIBEBA ONA THIS MVUA ZA LEO NA HAPA NDIO DOWNTOWN BONGO POSTA MPYA LIVE!!

$
0
0

 Maji yakiwa yamejaa katika eneo la Posta Mpya, Dar es Salaam jana kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini hapa.
 Maji ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam yakiwa yamejaa kwenye barabara inayojengwa kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi eneo la Akiba.




Mkazi wa eneo la Davis Corner, Tandika jijini Dar es Salaam akisaidiwa kuvuka maji yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles