Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

WAPO AMBAO SIO WAZURI ILA WENYE MVUTO: SOMA HAPA UTANIELEWA...!!

$
0
0
Tumezoea kusifia tu, mwanamke yule ni mzuri na pia kusema huyu ni mbaya lakini. hapo hapo ukimuuliza mtu ubaya au uzuri wake ni nini akashindwa kukuelezea. Sikia hiii..!!

Wapo wanawake wazuri wa aina mbili wapo ambao ni wazuri ukimuona kwa mara ya kwanza tu labda umepishana nae barabarani au umekutana nae kwenye daladala lakini mwanamke huyo huyo ukikaa nae kwa dakika kumi, kumi na tano unakuta ni wakawaida sana ni ule tu muonekano wa kwanza ndio ulikuchanganya.


Wapo wanawake ambao ukimuona kwa mara ya kwanza tu labda umepishana nae barabarani huwezi kugungua uzuri wake mpaka ukae nae kwa muda kidogo ndipo utagundua kuwa huyu mwanamke ni mzuri. na hao ndio wazuri na wenye mvuto wa hali ya juu kwani ukishagundua uzuri wake basi hata kukinahi hata kidogo, wengi wao huwa ni wanawake weusi, wenye urefu kiasi na maumbile ya wastani wasio wanene. Hilo ndio somo langu la leo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles