"Inasikitisha! Amekutwa hospitali ya Palestina akiwa hoi hajitambui baada ya kuporwa pikipiki na watu wasiojulikana huko Kinyerezi jijini Dar! Cha kushangaza madaktari wa hosp hiyo waliendelea kulanda landa bila kumhudumia mpk wagonjwa wengine waliokuwa hapo walipokuja juu. Hbr zaidi tembelea Irene Mwamfupe Jamii Blog"