Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

HII NDIYO MBINU MPYA YA VIGOGO WANAOSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA!

$
0
0
Baada ya Mambo kuwa magumu kwa wasafirishaji wa madawa ya kulevya ..sasa wamegundua njia mpya ya kusafirisha madawa ya kulevya kwa kuwatumia waja wazito kwa kuwa huwa hawakaguliwi kwenye x ray za airport ....siku za karibuni wamekamatwa wanawake kadhaa wajawazito ambao walikuwa wamemeza madawa ya kulevya ...Njia nyingine inayotumika ni kusafirisha madawa hayo kwa kutumia Cargo ambayo ni mizigo mikubwa ambayo huwekwa nyuma ya ndege chini .

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>