Picha hii iliyotengenezwa kuonyesha Justin akimpa busu msanii wa Young Money
Austin Mahone imeripotiwa kumkasirisha sana Justin Bieber baada ya mashabiki zake kuthani kuwa ni picha ya kweli kabla picha halisi haijatoka.
Austin Mahone imeripotiwa kumkasirisha sana Justin Bieber baada ya mashabiki zake kuthani kuwa ni picha ya kweli kabla picha halisi haijatoka.
Hawa baadhi ya mashabiki wa Justin Bieber baada ya kuona hii picha na kusikia kuwa
katangaza kushiriki mapenzi ya Jinsia moja Hii Ndio Picha Halisi