TAARIFA YA KIFO CHA HASSAN MANITU maarufu kama HASSAN BAUNSA YULE BAUNSA NA MLINZI ANAYEJULIKANA SANA KWA KUWALINDA WATU MAARUFU NA WASANII WANAOKUJA BONGO HASA KWENYE MATAMASHA YANAYOANDALIWA NA KLAUDS IKIWEMO FIESTA AMBAYE ALIJOZOLEWA UMAARUFU SANA KWA KUWALINDA WATU KAMA 50 CENT, JA RULE, RICK ROSS ,DAVIDO, AKON, LIL KIM ,BASTA RHYMES WALIPOKUJA BONGO. MSIBO UPO NYUMBANI KWAO KEKO MACHUNGWA NA MAZISHI YANAFANYIKA LEO. SIJUI KAMA WADAU WANA TAARIFA HIZI HASA PRIME TIME MANAKE MTU WAO HUYU SANA.