Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

TAHADHARI..!! HII NDIYO "PAFYUM" YENYE SUMU INAYOWEZA KUTOA UHAI WAKO UKIITUMIA.

$
0
0

 

Chanel ya Tbc1 imetangaza kua imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua nchini :-
Iraq, Bahrein na Suudia, vilevile ktika mji wa Alain (U.A.E), na Bremi nchini Oman.
Watu 8 nchini Iraq wameshafariki dunia na wapatao 35 wapo hali mbaya.
Tayari wameshagundua jina na muundo wa perfume hii yenye sumu na kuua, nayo inaitwa (LOVELY ) na baada ya uchunguzi imeonyesha kua athari yake haitokei mara baada ya kutumia (inapogusa sehemu ya mwili), bali inachukua siku 3-4 na inaweza kua ni kifo cha ghafla.

Kwa usalama wako na uwapendao ieneze habari hii haraka sana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>