Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

EXLUSIVE:- MKURUGENZI WA TWANGA PEPETA ASHA BARAKA AFUNGA NDOA KWA SIRI SANA JANA USIKU NA RASTAMAN WA MIGO MIGO LIKE NEVER BEFORE LIVE!!

$
0
0
Mkurugenzi Mkuu wa Twanga Pepeta, Asha Baraka jana usiku alifunga ndoa rasmi na Bwana Rastaman Idd Baka mfanya biashara maarufu huko Magomeni, mleta picha hizi amesema haikuwa rahisi kuzichukua picha hizi kutokana na amri aliyoitoa Mkurugenzi huyo ya kukataza picha ya aina yoyote kuchukuliwa ndani ya harusi hiyo, habari zaidi zinakuja stay tuned!!




Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>