Today 21:07
JF Tanzanite Member Array
Re: Waumini Wa Serikali Mbili Tuvuteni Sox Haikuwa Wiki Njema Hii: Tubadilikeni Now!!
Tatizo Kubwa la CCM Bungeni ni kutegemea wingi wao...na sio Hoja..na Zaidi kutegemea kubwebwa na vyombo Vya Umma au Maelezoo au Msemaji wa Ikulu....ambao TASWIRA Yao na kuaminika Kwao kimawasiliano kupo na mashaka..Lingine kubwa ni kuwa wajumbe wa Upinzani na wale wa 201 wenye msimamo mkali ...wanajiandaa Sana kwa kusoma ..na wengine hata ku rehearsal watakachochangia next day..na wenye uwezo mdogo hadi huandikiwa cha kuongea...jambo ambalo ccm hawafanyi
Lingine Muhimu ni Mahudhurio ...wengi wa Upinzani na 201 ...ni wanudhuriaji ..Wakati wabunge wengi watetezi wa Serikali 2 ...hata Bungeni hawaendi...,kuna ambao walienda Siku ile alipohutubia raia ...Baada ya hapo hawahudhurii ipasavyo ..utaona maeneo mengi yapo wazi....wengi wakiamini kuwa kwa kuwa wako wengi wenzao wataenda ..
Nafikiri watetezi wa Serikali 2 ..wanakosa coordination ndani na nje ya uwanja ...ambako kote mechi ziantakiwa kuchezwa.