"Nipo kwenye msiba wa Mandela hapa Pretoria, pilikapilika ni nyingi kweli kweli, eeh Zuma katumwa mikeka na Obama, J.K. anafunga turubai,huku bi Condoleezza anawasha moto na Mama Salma anachagua mchele. Chancelor Angel Markel wa Ujerumani kasema anakuja na sanda, Ban ki Moon na Kenyatta Wameenda kuchimba kaburi ila subiri kidogo kuna ugomvi kati ya Mugabe na David Cameroon wanagombea daftari la rambirambi, nitaendelea kukupa ripoti ya kila kinachojiri. Usiku Mwema!"
Like· · Share· 7 hours ago·