Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

UCHAFU UNAOFANYWA NA WACHEZA VIGODORO.

$
0
0
Jamani hii inatia hadi kinyaaaa.....Hivi Kweli Watanzania tumefikia Kiasi Hichi ...Nilikuwa sijawahi ona Video za Vigodoro nilikuwa nasikia tu juu kwa juu ila hii Video Imenionesha nini Huwa kinafanyika huko kwenye Vigodoro....Serekali Hamjaliona hili ? Mbona Sijasikia Ikipigwa marufuku ..Hii ni sawa na Wale wacheza Uchi wa kwenye Clubs Kule Ulaya...
Bofya Hapa UCHAFU WA VIGODORO kujionea ...Na utoe Maoni yako

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>