Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

HIZI NDIYO PICHA ZIKITHIBITISHA KUWA NAZIZI WA KENYA NA PRODUCER WA KIBONGO NI WAPENZI KWA SASA...!! TAZAMA HAPA

$
0
0


 Pamoja na kuenea kwa picha zenye utata, rapper wa Kenya, Nazizi aliwahi kukanusha taarifa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na producer kutoka Mwanza, Tanzania, Sappy ambaye kwa sasa ni mtayarishaji wa Homeboyz Production ya Kenya, wawili hao wameendelea kuwa karibu kiasi cha kutoonesha ‘uhusiano wa msanii na producer’ wake kama walivyosema.
 Penzi la Sappy na Nazizi limeendelea kushamiri kiasi cha producer huyo kuamua kumpeleka kwao Mwanza kumtambulisha kwa wazazi wake.
Kaka yake Sappy, Nazizi na Sappy
 Isitoshe, Sappy amekuwa karibu mno na familia ya Nazizi kiasi ambacho hadi mtoto wa Nazizi amemzoea Sappy ‘anayeplay role’ ya ubaba kwa sasa baada ya Nazizi kuachana na mume wake.
 Like Step Father like Son – Sappy akiwa na mtoto wa Nazizi
 Wawili hao pia wamerekodi wimbo wa pamoja uitwao Gangster Love.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>