$ 0 0 Hapa ni bagamoyo,Karibu na bonde la mto ruvu.Mafuriko yameleta maafa makumwa,na wakati huu uongozi was wilaya upon hapa na sasa imebidi boat itumike kuokoa maisha ya watu.