Arabia AbdulmalickSijawahi kuona rais mwenye upendo wa dhati kama huyu,haringi wala kuwa na majivuno anajiona sawa tuu hiy ndio tunapenda,mungu ampe umri mrefu kiongozi wetu.
Masatu MagangaHuyu bwana ni exceptional when it comes to socio-cultural issues...he is down to earth...na siyo yeye tu ..hata watoto!! He is blessed as a human being..naacha U-rais pembeni!!