Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BREAKIN NEWZZZ:- PICHA YA KWANZA YA DEREVA ANAYETAFUTWA KA KUIIBIA KAMPUNI YA MBUNGE KIJANA TAJIRI AFRIKA NZIMA!!

$
0
0

MUSA DRIVER 001
Kampuni ya MOHAMMED ENTERPRISES (T) LTD inautangazia umma kutoweka Mfanyakazi MUSA SAID (Pichani)
aliyekuwa  Dereva wa 21st CENTURY TEXTILES MOROGORO kwa kupeleka kusikojulikana mzigo wa Vitenge na kisha kutelekeza gari lenye namba za usajili T 128 CVJ katika bohari kuu (Main Godown) ya Dar es Salaam kampuni  ya MOHAMMED ENTERPRISES (T) LTD.
Tumeshafungua Jalada CB/RB/4869/2014 na CB/IR/1540/2014.
Zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwake.
Kwa taarifa za kupatikana kwake piga simu Na. 022 2118930 au 022 2112756; 0755 030 014 au 0784 783 228; au toa taarifa  kituo chochote cha polisi kilicho karibu na wewe.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>