"Mzee Malecela, mmoja kati ya Waafrika watatu huru waliomwona Mandela akiwa jela (wengine ni Winnie Mandela na Obasanjo). Nimekutana naye Leo Dodoma. Mzee ni Kisima cha kumbukumbu.
Kanipa "Mission to South Africa" the findings of the commonwealth eminent persons group on Southern Africa......"