Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

AISHA MADINDA AFUNGUKA JUU YA SKENDO YAKE YA KUDAIWA KUIBA SIMU

$
0
0



STORI: Musa Mateja na Shakoor Jongo
Mnenguaji maarufu Bongo aliyewahi kutopea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kabla ya hivi karibuni kuamua kuacha, amegandwa na skendo ya kuiba siku lakini mwenyewe alipoulizwa, alishangazwa na madai hayo huku akidai kuwa hawezi kufikia hatua hiyo.

Mnenguaji maarufu Bongo, Aisha Madinda.
Awali chanzo chetu kilitunyetishia kwamba, mdada huyo alizama kwenye saluni moja iliyopo Kijitonyama na kuweka fresh nywele zake lakini alipotoka tu mmoja wa wateja akalia kuibiwa simu yake.
Kwa kuwa yeye ndiye aliyetoka muda ule watu wakajua ndiye aliyechukua, walipotoka kumuangalia ili wamuulize alikuwa ameshatokomea,” alidai mto habari huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake.

Aisha Madinda akiwa kazini.
Mwandishi wetu alipozungumza na Aisha kuhusu ishu hiyo alisema: “Niibe simu, mh! Kweli ninaishi mitaa hiyo na mara mojamoja nikitoka kazini nimechelewa naendaga saluni lakini sijawahi kusikia wala kuitwa na mtu akidai nimeiba simu.
Hao wanaonisema hivyo watakuwa na sababu zao nyingine tu za kutaka kunichafulia jina langu.”

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>