Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

UKAWA MAMBO YAAANZA KUWA MAGUMU WAANZA KURUSHIANA MAWE WENYEWE KWA WENYEWE ONA HAPA LIVE!!

$
0
0







Ni baada ya kuchelewa kuwasili katika mkutano wao ulioandaliwa
ikiwa ni siku moja baada
ya kususia kikao cha Bunge la Katiba. Mkutano huo ulianza saa 4:18 ukiongozwa na
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahimu Lipumba baadaye wajumbe walianza kuhoji alipo
kiongozi wao Freeman Mbowe.

Aliyekuwa wa kwanza kuhoji alipo Freeman Mbowe ni Profesa Abdallah Safari alisimama na
kuhoji alipo Mbowe hatua ambayo ilizusha minong'ono kwa baadhi ya wajumbe. Ilibidi Prof
Lipumba aanze kumpigia simu Mbowe ndipo akampata kwa shida. Hii inaonyesha alishakimbia
kikao hicho, kwani hata hivyo wajumbe wengi wa kikao hicho walikuwa wanachama na wafuasi
wa CUF na sio CHADEMA.


Mandla.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>