HATIMAYE MTANDAO WA TELEX FREE ULIOKUWA UNAJULIKANA SANA KAMA ONLINE MARKETING UMEFUNGWA RASMI LEO, NA KUWAACHA WABONGO 20,000 WAMEKULA HASARA YA KILA MMOJA SHILLINGI 600,000 AMBAZO ZIALIKUWA NI ADA YA KUJIUNGA NA MTANDAO HUO ILI UPATE MKOPO WA HARAKA HARAKA WA MAMILLIONI YA PESA.