Wachezaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Azam FC ya Chamazi Dar es Salaam wakishangilia baada ya kuweka historia ya kutwaa Ubingwa wa Soka Tanzania 2013-2014. Ubingwa huo ulikuwa unashikiliwa na Yanga iliyoambulia nafasi ya pili na jana ikitoka sare na Simba 1-1
Wachezaji wa Timu ya Azam Fc Wakisherekea Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Baada ya Kukabidhiwa jana katika Uwanja wa Azam Compex Leo wakiwa na Mwenyekiti wao