Msanii wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’akiwa katika matanuzi.
MSANII wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ alikula sherehe ya bethidei yake (Aprili 15, mwaka huu) akiwa kitandani baada yakuugua Ugonjwa wa Homa ya Matumbo (Typhoid).Bela alisema kabla ya kuugua alipanga kufanya bonge la pati lakini bahati mbaya mambo yakaenda ndivyo sivyo.“Sina ujanja, acha nile bethidei yangu kitandani, hapa nina dozi naendelea kutumia,” alisema Bela ambaye ni Miss Ruvuma wa mwaka 2006.↧