WANAWAKE WENGI SIKU HIZI WAMEKUWA MALIMBUKENI WA SOCIAL NETWORKS
Kuna mdada mmoja nilisoma naye chuo miaka fulani hapo nyuma, sasa jana katika pilikapilika zangu mjini, tukakutana ghafla maeneo fulani, kwa hiyo tukaanza kusalimiana na tukaona ni vizuri tusogee pembeni kwenye mgahawa fulani tukakaa.
Basi tukawa tunapiga story za kawaida na kila mmoja akimwuuliza mwenzio yuko wapi na anafanya nini sasa. Katika kukaa naye kwa muda mfupi usiozidi nusu saa, kila baada ya sekunde kama 3 hadi tano nasikia simu yake (Sumsung galaxy S5) ikilia ndii, njee, ngaa, etc., huku akiishikilia na kucheza nayo muda wote! Sasa ikabidi nimwuulize mbona simu yako haiishi milio? Akajibu ni msgs - watu wananitumia msgs kutoka social networks mbalimbali.
Nikamwambia mmmhh, social networks gani hizo mpaka simu iwe busy muda wote? Akaniambia mie nipo (tena kwa madaha) karibu social networks zote halafu nina marafiki wengi sana, akaanza kunionyesha (sio kwamba sizijui, ila yeye alihisi mie ni mngoroko na sijui chochote kuhusu social networks), nami nikawa curious kufuatilia, maweeeeeeeeee! Mdada karibu kila social network unayoijua yupo na ni very active, halafu amejiunga na magroup kibao, singles, lovers without limit, love addicts, sijui magroup gani yaani basi:
- WhatsApp
-Viber
-Instagram
-Telegram
-Tango
-skype
-facebook
-Google+ (Google Talk)
-Twitter
-twoo
-flickr
etc.,
Kilichoniacha hoi ana contacts mpaka basi, yaani nimeona facebook ana marafiki wengi zaidi ya elfu, WhatsApp kama 3800 hivi, kwingine sikuendelea kuangalia. Nikamwuuliza sasa hizi contacts zote unazitoa wapi? Akasema wengine tunakutana kwenye mishemishe lakini wengi ni kwenye mitandao.
Nikamwambia wewe hobby yako inaonekana kuchat! Akadakia "sana na kuangalia movie". Wakati naachana naye akawa anasisitiza nimpe namba ya simu tuwe tunawasiliana kupitia WhatsApp na social networks zingine, nikamwambia wewe nipe tu namba yako nikifika home nikatulia nitakuadd.
Natumaini wadada wengine wengi wa namna hii wapo!
Swali langu ni kwamba mwanaume ukikutana na mdada wa hivi ukaingia naye kwenye mahusiano, utakuwa na guts za kujipiga kifua kwamba utaweza kuclear strings na attachments zote alizozifanya? Watu wangapi amekutana nao, kutongozana nao na labda hata kusex nao?
Kwenye hizi social networks wanaume na wanawake mara nyingi hawaishii kuchat tu, bali hufikia hatua ya kutongozana na nimeona mahuasiano kadhaa ya ndoa au kiuchumba yaliyovunjika kwa wahusika kukutwa na msgs za kutongozana au kupeana miada ya kuchepuka!
Ukitaka mahusiano yako yabaki kuwa ndoto au yaingie matatani wewe mruhusu mwenzi (au jiruhusu mwenyewe) wako awe anachat, mara kushare photos na videos na watu wa jinsia tofauti - hata kama akidai ni ndugu zake, sijui kaka/dada wa hiari, sijui nilisoma naye chuo/sekondari, sijui mfanyakazi mwenzangu bila sababu ya msingi, utakuja kuniambia!
Leo ni siku ya muungano, epuka/piga marufuku mawasiliano yasiyokuwa na maana wala msingi wowote ili kudumisha muungano wa uhusiano wenu.

- Comred Martine John Jr. and 13 others like this.
- Comred Martine John Jr.Ujumbe umefika kaka! wahusika wamekusoma
- Ashura SiraDuh!! Sasa na charge anatembea nayo au anazo zile za mchina unacharge hata ikiwa ndani ya begi??
- Maria BrownIs so true
- Franco Asifiwe Shonisasa Ashura ndio kusema unabisha hakuna watu desgn hiyo?
- Ashura SiraWapo sikatai ila napata tabu kuwaza hizo samsung mm nina whtsup na fb na calls za kawaida bado ni mtikhani kwenye charge sasa yy anawezaje au ndio all the time yuko kwa socket?? Nawaza tu
- Stephen Kivike Kaka umetema madini tupu!! big up
- Arafa AbubakaryMh,makavu live,njia kuu inahusika hapo
- Franco Asifiwe ShoniI don't mean wanawake tu but hata vijana nao wapo. kila social network yeye yupo na active. sasa najiuliza anatumia ubongo gani ambao unadrive mambo 800 ? huyu kweli nimjenga nchi, au ndio kijana mlalamikaji.
- Ashura SiraKijana mlalamikaji kila saa anapata data hana muda wa kuchambua muulize kwa nn anataka serikali 3 hajui na kwa nn hataki serikali 2 pia hajui sasa sijui ni nchi gani tunaijenga sisi!!
- Franco Asifiwe ShoniAmekalilishwa tu..«« yani akikutana nawewe mwenye whatsapp na fb tu anakuona bonge la mshamba. yani yeye kl social network ambayo ipo anataka kutumia hata kama some time zinafanana function na some time member wale wale anajiona bonge la mjanja kumbe m...See More
- Ashura SiraHahahahaaa mambo ya mafikizolo wangu bee ndauli saa ngapi utakuwa na haya masocial network yooote na ulanzi tunywe saa ngapi watuachege na maushamba yetu bee!!
- Franco Asifiwe Shonikhaaa!! Eh Bee
- Ashura SiraWatuache bee!!
- Violet Mwakisyaladah shoni umetisha. yani umewapa makavu live!
- Franco Asifiwe Shoniha ha ha unataka unichonganishe , mimi nimerusha jiwe gizani sijui litamkuta nani.@violet